Advertised Posts

Call for Interview

Placements

Visitors Counter

»Online   9        
»Today   101       
»Yesterday  3036       
»Week   6372        
»Month   58679       
==================
»Total 20999131        

Sekretarieti ya Ajira yatoa elimu ya masuala ya Ajira kwa wanafunzi wa Vyuo Zanzibar

Posted on February 7, 2017 at 05:02 AM

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imefanya ziara katika Vyuo Zanzibar ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa utaratibu wake wa kuhamasisha na kuelimisha wanafunzi wa Vyuo mbalimbali nchini kuhusu utaratibu wa uendeshaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma.

Read More

MAJIBU YA MASWALI NA HOJA ZA WADAU KWA MWEZI NOVEMBA NA DESEMBA. 2016.

Posted on January 13, 2017 at 04:57 AM

Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwashukuru Wadau wake na wananchi wote kwa ujumla waliotembelea tovuti (www.ajira.go.tz), waliofika ofisini kuonana na Maafisa kupata ufafanuzi wa maswala mbalimbali, waliopiga simu, waliotuma barua pepe na kutuandikia maoni pamoja na kuuliza maswali kwa kipindi cha mwezi Novemba, 2016

Read More

TAARIFA KWA UMMA

Posted on December 27, 2016 at 03:48 PM

Mnamo tarehe 26 na 27 Desemba, 2016 baadhi ya mitandao ya kijamii imeandika taarifa zenye nia ya kupotosha Umma ambazo Sekretarieti ya Ajira inapenda kuzitolea ufafanuzi kama ifuatavyo;-

Read More

Taasisi za Umma zatakiwa kusimamia Maadili na Utawala Bora.

Posted on December 13, 2016 at 01:00 PM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amezitaka Taasisi zinazosimamia Maadili na Utawala Bora kujisafisha zenyewe kabla ya kuanza kusimamia wengine ili kuepuka kunyooshewa  vidole  katika utendaji kazi wao.

Read More

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Posted on October 1, 2016 at 07:09 PM

KUKANUSHA TAARIFA YA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZAIDI YA 1000 SERIKALINI LILILOSAMBAA MITANDAONI

Kama mnavyofahamu hivi karibuni Serikali ilitoa taarifa ya kusitisha kwa muda Ajira mpya Serikalini kwa ajili ya kupisha zoezi la uhakiki wa Watumishi wake pamoja na zoezi la kupitia upya miundo yake, mazoezi haya mpaka sasa yanaendelea na hayajakamilika hivyo zoezi la usitishwaji wa Ajira bado linaendelea. 

 

Read More